-
Notifications
You must be signed in to change notification settings - Fork 15
/
Copy pathapp_sw.arb
597 lines (597 loc) · 26.1 KB
/
app_sw.arb
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100
101
102
103
104
105
106
107
108
109
110
111
112
113
114
115
116
117
118
119
120
121
122
123
124
125
126
127
128
129
130
131
132
133
134
135
136
137
138
139
140
141
142
143
144
145
146
147
148
149
150
151
152
153
154
155
156
157
158
159
160
161
162
163
164
165
166
167
168
169
170
171
172
173
174
175
176
177
178
179
180
181
182
183
184
185
186
187
188
189
190
191
192
193
194
195
196
197
198
199
200
201
202
203
204
205
206
207
208
209
210
211
212
213
214
215
216
217
218
219
220
221
222
223
224
225
226
227
228
229
230
231
232
233
234
235
236
237
238
239
240
241
242
243
244
245
246
247
248
249
250
251
252
253
254
255
256
257
258
259
260
261
262
263
264
265
266
267
268
269
270
271
272
273
274
275
276
277
278
279
280
281
282
283
284
285
286
287
288
289
290
291
292
293
294
295
296
297
298
299
300
301
302
303
304
305
306
307
308
309
310
311
312
313
314
315
316
317
318
319
320
321
322
323
324
325
326
327
328
329
330
331
332
333
334
335
336
337
338
339
340
341
342
343
344
345
346
347
348
349
350
351
352
353
354
355
356
357
358
359
360
361
362
363
364
365
366
367
368
369
370
371
372
373
374
375
376
377
378
379
380
381
382
383
384
385
386
387
388
389
390
391
392
393
394
395
396
397
398
399
400
401
402
403
404
405
406
407
408
409
410
411
412
413
414
415
416
417
418
419
420
421
422
423
424
425
426
427
428
429
430
431
432
433
434
435
436
437
438
439
440
441
442
443
444
445
446
447
448
449
450
451
452
453
454
455
456
457
458
459
460
461
462
463
464
465
466
467
468
469
470
471
472
473
474
475
476
477
478
479
480
481
482
483
484
485
486
487
488
489
490
491
492
493
494
495
496
497
498
499
500
501
502
503
504
505
506
507
508
509
510
511
512
513
514
515
516
517
518
519
520
521
522
523
524
525
526
527
528
529
530
531
532
533
534
535
536
537
538
539
540
541
542
543
544
545
546
547
548
549
550
551
552
553
554
555
556
557
558
559
560
561
562
563
564
565
566
567
568
569
570
571
572
573
574
575
576
577
578
579
580
581
582
583
584
585
586
587
588
589
590
591
592
593
594
595
596
597
{
"@@locale": "sw",
"about": "Kuhusu",
"aboutBrief": "Pochi ya simu ya Encointer",
"aboutVersion": "Toleo",
"acceptancePoints": "Sehemu za makubaliano",
"accountDelete": "Una uhakika unataka kufuta akaunti hii?",
"accountImport": "Ingiza akaunti",
"accountName": "Jina la akaunti",
"accountNameChoose": "Chagua jina la akaunti.",
"accountNameChooseHint": "Unaweza badilisha badae kwenye mipangilio ya wasifu.",
"accounts": "Akaunti",
"accountsDelete": "Una uhakika unataka kufuta akaunti zote?",
"accountsDeleteAll": "Ondoa akaunti zote",
"accountShare": "Shea akaunti",
"addAccount": "Ongeza akaunti",
"addContact": "Ongeza mawasiliano",
"addInvoiceQrToAddress": "Ongeza QR-invoice kwenye anuani",
"address": "Anuani",
"addressBook": "Kitabu cha anuani",
"addToContactFromQrContact": "Ongeza Qr ya mawasiliano",
"alreadyEndorsedErrorBody": "Akaunti hii tayari imeidhinishwa kwa ajili ya mzunguko huu",
"alreadyEndorsedErrorTitle": "imeidhinishwa tayari",
"amountError": "Kiasi kisichokubalika",
"amountToBeTransferred": "Tuma kiasi",
"appSettings": "Mipangilio ya app",
"attestNotificationBody": "Kama washiriki wote wametuma uthibitisho, unaweza kudai pato lako la jamii.",
"attestNotificationTitle": "Wahudhuriaji waliothibitishwa.",
"available": "Inapatikana",
"balance": "Kiasi",
"balanceTooLowBody": "Hauna kiasi cha kutosha kwenye akaunti yako. Huwezi kutuma hela yote kwa sababu unahitaji kiasi cha kulipa makato ya ada.",
"balanceTooLowTitle": "Kiasi kipo chini sana",
"balanceTransferNotificationBody": "Mpokeaji amepokea tokeni",
"balanceTransferNotificationTitle": "Muamala umekamilika",
"benefits": "Faida",
"biometricAuth": "Uhakiki wa kibayometriki",
"biometricAuthDescription": "Uthibitishaji wa kibiometri unatumia taarifa za kibiometri zilizohifadhiwa kwenye simu yako kuthibitisha utambulisho wako, badala ya kutumia PIN yako. Unaweza kuwezesha au kuzima uthibitishaji wa kibiometri wakati wowote kwenye mipangilio.",
"biometricAuthEnableDisableDescription": "Ingiza PIN yako ili kuwezesha au kuzima uthibitishaji wa kibiometri.",
"block": "Zuia",
"bootstrapperContent": "Kama una tiketi za kuidhinisha, itapendeza sana ukiwaidhinisha wanachama wapya kwenye jamii.",
"bootstrapperTitle": "Umesajiliwa kama kamati anzilishi - nafasi yako ya ushiriki ni ya uhakika.",
"calendarEntryDescription": "Kusanyika kupata pato lako la jamii.",
"cameraPermissionError": "Kulikuwa na hitilafu katika kupata ruhusa ya kamera. Kwa namna nyingine unaweza kutoa ruhusa kwenye mipangilio ya programu(app settings).",
"cancel": "Sitisha",
"canEndorseInRegisteringPhaseOnly": "Unaweza idhinisha wakati wa usajili tu",
"cantEndorseBootstrapper": "Wanachama waanzilishi tayari wameainishwa kama wenye kuaminika kwenye jamii.",
"categories": "Kategoria",
"canUseFaucetOnlyWithCurrentAccount": "Unaweza kutumia vipengele vya kisima tu ikiwa ukurasa huu wa akaunti unaonyesha akaunti hai kwa sasa.",
"changeYourPin": "Badilisha PIN",
"checkEmailApp": "Cheki kama umedownload app ya Email, Tafadhali badili jamii kuweza kutuma mali.",
"chosenRightCommunity": "Data ni za jamii tofauti. Tafadhali badilisha jamii ili kutuma fedha..",
"claim": "Dai",
"claimRewardsNotificationBody": "Tayari umeshapokea mapato yako ya jamii!",
"claimRewardsNotificationTitle": "Umeshapata mapato yako ya jamii",
"claimsScannedAlready": "Dai lililoskaniwa hapo awali limeboreshwa",
"claimsScannedDecodeFailed": "Haikuweza kutafsiri dai lililoskaniwa. Wanachama wengine wanahitaji kuupdate app..",
"claimsScannedNew": "Skani madai mapya",
"claimsSubmit": "Wasilisha madai",
"closeGathering": "Funga mkutano",
"communities": "Jamii",
"communityChoose": "Chagua jamii:",
"communityDoChoose": "Chagua jamii",
"communityNotSelected": "Hujachagua jamii, bonyeza alama ya picha kuchagua",
"confirmPin": "Ingiza PIN yako kuhakikisha",
"confirmThePayment": "3. Hakikisha malipo",
"contactAddress": "Anuani",
"contactAddressError": "Anuani sio sahihi",
"contactAlreadyExists": "Anuani tayari ipo, inatumiwa na mtu mwingine",
"contactDelete": "Futa",
"contactDeleteWarn": "una uhakika unataka kufuta anuani?",
"contactEndorse": "Idhinisha kama mwanachama muaminifu.",
"contactMemo": "Taarifa za mawasiliano",
"contactName": "Jina",
"contactNameAlreadyExists": "Jina tayari lipo",
"contactNameError": "Jina haliwezi kuwa baki",
"contactSave": "Hifadhi",
"contactUs": "Wasiliana nasi",
"copy": "Nakili",
"count": "Hesabu",
"create": "Tengeneza akaunti",
"createError": "Kulikuwa na hitilafu kwenye kutengeneza akaunti yako",
"createHint": "(Mfano: Alice)",
"createPassword": "PIN",
"createPassword2": "Thibitisha PIN",
"createPassword2Error": "PIN zisizoendana",
"createPasswordError": "PIN lazima iwe na angalau tarakimu 4 na isijumuishe ishara nyingine yoyote",
"deleteAccount": "futa",
"democracy": "Demokrasia",
"democracyFaq": "Demokrasia inafanyeje kazi?",
"democracyDiscussion": "Jadili mapendekezo kwenye foramu yetu!",
"democracyVotedNotificationBody": "Umepigia kura pendekezo hili.",
"democracyVotedNotificationTitle": "Umepiga kura",
"detail": "Taarifa",
"detailsEnter": "ingiza taarifa zako.",
"developer": "Developer mode",
"done": "Tayari",
"doYouAlreadyHaveAnAccount": "Je una akaunti tayari?",
"enable": "Wezesha",
"enableBazaar": "Wezesha Bazaar",
"endorseeContent": "Umeidhinishwa kama mwanachama mwaminifu wa jamii ya Nyota. Hivyo, kuna uhakika wa wewe kuteuliwa kuhudhuria kikao cha mzunguko huu.",
"endorseeTitle": "Umesajiliwa kama muidhinishwa - nafasi yako imehakikishwa",
"endorseNewcomerNotificationBody": "Asante kwa kumuidhinisha mwanachama mpya!",
"endorseNewcomerNotificationTitle": "Mwanachama mpya ameidhinishwa",
"enterAmount": "Ingiza kiasi",
"error": "Hitilafu",
"errorMessageNoCommunity": "Tafadhali chagua jamii.",
"errorOccurred": "Kuna hitilafu imetokea:",
"errorUserNameIsRequired": "Jina la mtumiaji haliwezi kuwa baki",
"event": "ID ya tukio",
"export": "Onyesha taarifa za siri za akaunti yako kuweza kuisafirisha",
"exportAccount": "Safirisha",
"exportMnemonicOk": "Maneno ya siri yamenakiliwa.",
"exportWarn": "Andika haya maneno kwenye karatasi. Karatasi hio itunze. Maneno hayo yanamruhusu mtu yeyote kuingia kwenye akaunti na kuweza kutumia mapato yaliyomo.",
"fail": "Imefeli",
"fee": "Ada",
"finish": "Maliza",
"from": "Kutoka kwa",
"fundsReceived": "Mali zimepokelewa",
"fundVoucher": "Vocha ya mali",
"gatheringSuccessfullyCompleted": "Mkutano umefanikiwa",
"hash": "Hashi ya muamala",
"hintEnterCurrentPin": "Kubadili PIN yako, tafadhali ingiza ya sasa.",
"hintThenEnterANewPin": "Halafu unaweza ingiza mpya na hapo ndipo inakuwa imebadilika.",
"home": "Nyumbani",
"howManyParticipantsShowedUp": "Ni wahudhuriaji wangapi ukijumlisha na wewe?",
"import": "Ingiza",
"importDuplicate": "Akaunti ipo, Je unataka kubadili akaunti iliyopo?",
"importedWithRawSeedHenceNoMnemonic": "Akaunti imeingizwa kwa mbegu za kriptografia hivyo haina maneno ya siri.",
"importInvalidMnemonic": "Maneno ya siri yaliyoingizwa sio sahihi",
"importInvalidRawSeed": "Ufunguo wa siri ulioingizwa sio sahihi",
"importMustNotBeEmpty": "Lazima ujaze chochote",
"importPrivateKeyUnsupported": "Uigizaji wa funguo za siri haujasapotiwa bado.",
"incomeIssuance": "Mapato ya jamii",
"insufficientBalance": "Kiasi hakitoshi",
"insufficientFundsErrorBody": "Hauna mali za kutosha kwenye akaunti hii. Angalia kwenye tovuti ya jamii yako kuweza kupata kadhaa.",
"insufficientFundsErrorTitle": "Mali hazitoshi",
"invalidCommunity": "sio jamii sahihi",
"invalidNetwork": "Mtandao sio sahihi",
"invoice": "Ankara",
"issuanceClaimed": "Hakuna mapato ya jamii yanayosubiriwa",
"issuancePending": "Dai mapato ya jamii yanayosubiri",
"keySigningCycle": "Mzunguko wa Kusaini Funguo",
"keystore": "Hifadhi ya funguo (json)",
"kusamaFaucet": "Kisima cha Kusama",
"lang": "Lugha",
"leuZurichFAQ": "leu.zuerich FAQ",
"like": "Penda",
"loading": "inaload...",
"meetingPoint": "Sehemu ya kukutana",
"meetupClaimantEqualToSelf": "Hitilafu: Mtoa madai ni sawa na yeye mwenyewe. Dai halijahifadhiwa",
"meetupClaimantInvalid": "Mdai huyu sio sehemu ya mkutano. Dai halijahifadhiwa.",
"meetupLocation": "Sehemu ya kukutana.",
"meetupIndex": "Namba ya mkusanyiko {index}",
"meetupIndexPopupExplanation": "Tumia Nambari ya Mkusanyiko kupata eneo lako halisi la mkusanyiko. Kiongozi wa jamii ndiye anayehusika kubainisha maeneo ya mkusanyiko katika jamii yako. Eneo halisi linaweza kuwa tofauti kidogo na lile lililoonyeshwa hapa..",
"meetupNotificationOneDayBeforeContent": "Mkutano unaanza ndani ya masaa 24",
"meetupNotificationOneDayBeforeTitle": "Masaa 24 yamebaki",
"meetupNotificationOneHourBeforeContent": "Mkutano unaanza ndani ya lisaa 1",
"meetupNotificationOneHourBeforeTitle": "Saa 1 imebaki",
"mnemonic": "Maneno ya siri",
"newbieContent": "Kwa hali yako ya sasa, ushiriki wako katika mzunguko ujao hauhakikishiwi. Tafadhali waombe waachama wa jamii yako wakuidhinishe.",
"newbieTitle": "Ushiriki wa awali",
"next": "Inayofuata",
"nextCycleDateLabel": "Mzunguko ujao unaanza",
"nextCycleTimeLeft": "Mzunguko ujao unaisha",
"noCommunitiesAreYouOffline": "Hakuna jamii zilizopatikana. Unaweza kuchagua moja baadaye. Je, uko mtandaoni?",
"noInvoice": "Hakuna ankara",
"noItems": "Hakuna vitu vilivyopatikana",
"noMnemonicFound": "Hakuna maneno ya siri yaliyopatikana",
"notNow": "Sio sasa",
"notifySubmittedQueued": "Muamala uliowekwa kwenye foleni umetumwa",
"noTransactions": "Hakuna muamala",
"noValidClaimsErrorBody": "Hujatuma madai yeyote halali. Je umewaskani wahudhuriaji wengine?",
"noValidClaimsErrorTitle": "Hakuna madai halali",
"numberOfAttendees": "Idadi ya wahudhuriaji",
"observe": "Uchunguzi",
"observeBrief": "Weka anwani hii kwenye uchunguzi, kisha unaweza kuchagua anwani hii katika ukurasa wa kuchagua akaunti, ili kutazama mali na vitendo vyake.",
"observedPendingExtrinsic": "Muamala unaosubiri umeonekana. Tafadhali subiri uthibitisho.!",
"offlineMessage": "Kwa sasa hauko mtandaoni(offline). Madai yako yanaweza kutumwa baadaye kwenye Home screen yako.",
"ok": "OK",
"onlyReputablesCanEndorseAttendGatheringToBecomeOne": "Ni wanachama hai wenye sifa pekee ndio wanaoweza kuidhinisha. Hudhuria mkusanyiko/vikao ili kupata sifa!",
"openMapApplication": "Programu ya Open Map",
"openTheEncointerApp": "1. Fungua programu \n«Encointer Wallet»",
"passOld": "PIN yako ya sasa",
"passSuccess": "Imefanikiwa",
"passSuccessTxt": "PIN imefanikiwa kubadilishwa",
"payHereWithLeu": "Lipa hapa na Leu",
"payment": "Malipo",
"paymentDoYouWantToProceed": "Endelea a malipo?",
"paymentError": "Kuna hitilafu kwenye muamala wa malipo",
"paymentFinished": "Malipo yamekamilika",
"paymentSubmitting": "Malipo yanawasilishwa...",
"personalKey": "Ufunguo binafsi",
"personalKeyEnter": "Tafadhali ingiza funguo zako za kibinafsi (maneno 12) ili kuingiza akaunti mpya.",
"pinHint": "Utahitaji PIN hii kwa ajili ya miamala na kuongeza akaunti mpya.",
"pinInfo": "PIN inapaswa kuwa na angalau tarakimu 4. Ikiwa PIN imepotea, hakuna chaguo la kurejesha akaunti isipokuwa ikiwa ulifanya backup kupitia ukurasa wa wasifu..",
"pinSecure": "Linda akaunti yako kwa kutumia PIN.",
"pleaseCommunityChoose": "Tafadhali chagua jamii",
"pleaseConfirmYourNewPin": "Hakikisha PIN mpya",
"preview": "Onyesha",
"print": "Chapisha",
"proposal": "Pendekezo",
"proposalAye": "Aye",
"proposalNay": "Nay",
"proposalSuperseded": "Iliyopita",
"proposalRejected": "Imekaataliwa",
"proposalCancelled": "Imwesitishwa",
"proposalEnacted": "Imetekelezwa",
"proposalApproved": "Imepitishwa",
"proposalTurnout": "Mahudhurio",
"proposalHowVote": "Unapigaje kura?",
"proposalsEmpty": "Hakuna mapendekezo",
"proposalsUpForVote": "Mapendekezo yanayopigiwa kura",
"proposalsPast": "Mapendekezo yaliyopita",
"proposalVote": "Piga kura",
"proposalVoted": "Imepigiwa kura",
"proposalOngoingUntil": "Inaendelea hadi",
"proposalConfirmingUntil": "Inadhibitisha hadi",
"proposalPendingEnactmentAt": "Inasubiri utekeleazaji kwenye",
"qrScan": "Skani QR",
"qrScanHintAccount": "Muombe mpokeaji askani QR kwenye app ya Encointer.",
"rawSeed": "Mbegu za kriptografia",
"receive": "Pokea",
"received": "Imepokelewa",
"receiverAccount": "Akaunti ya mpokeaji:",
"redeemFailure": "Kulikuwa na hitilafu wakati wa kutumia vocha. Sababu:",
"redeemSuccess": "Umefaikiwa kutumia vocha.",
"redeemVoucher": "Tumia vocha",
"registeringPhaseReminderContent": "Usajili wa kikao kijacho umeanza.",
"registeringPhaseReminderTitle": "Jisajili sasa!",
"registerParticipantNotificationBody": "Utapokea ukumbusho siku moja kabla.",
"registerParticipantNotificationTitle": "Umejisajili kwa ajili ya kikao kijacho!",
"registerUntil": "Jisajili kabla",
"remainingNewbieTicketsAsBootStrapper": "Tiketi za wanachama wapya/wageni zilizobaki kama mwanachama anzilishi:",
"remainingNewbieTicketsAsReputable": "Tiketi za wanachama wageni zilizobaki kama mwanachama hai:",
"remarkNotificationBody": "Umetuma kumbuka.",
"remarkNotificationTitle": "kumbuka imetumwa",
"remarks": "Maoni ya Onchain",
"remarksButton": "tuma kumbuka ya umma",
"remarksExplain": "Unaweza kutuma kumbuka kwenye mtandao. Kumbuka hii itakuwa ya umma na isiyobadilika. Inaweza kusomwa na kuthibitishwa na kila mtu kwani itasainiwa kidijitali na wewe.",
"remarksNote": "Kumbuka",
"remarksSubmit": "Tuma kumbuka",
"reputableContent": "Umetumia sifa yako kupata kiti kilicho hakikishiwa. Tahadhari: Ikiwa utajiandikisha lakini usijitokeze katika mzunguko, utarudi kuwa mwanachama mpya/mgeni tena..",
"reputableTitle": "Umejisajili kama mwenye mwanachama hai - kiti chako kimehakikishiwa",
"reputationAlreadyCommittedTitle": "Hadhi yako imetumika",
"reputationAlreadyCommittedContent": "Umeshatumia hadhi yako kukamua kisima cha Kusama.",
"reputationOverall": "Hadhi yako kwa ujumla",
"restartGathering": "Anzisha mkutano tena",
"retry": "Jaribu tena",
"rewardsAlreadyIssuedErrorBody": "Mhudhuriaji mwingine ameanzisha malipo kwa ajili ya mkusanyiko huu. Unapaswa kuwa umepokea mapato yako tayari..",
"rewardsAlreadyIssuedErrorTitle": "Zawadi tayari zimetolewa",
"scan": "Skani",
"scanDescriptionForMeetup": "Kila muhudhuriaji lazima askani na askaniwe na kila mtu.",
"scanOthers": "Waskani wengine",
"scanQrCodeOnTheLeft": "2. Skani code ya QR \non the left",
"sendLink": "Tuma link",
"sent": "Imetumwa",
"setting": "Mipangilio",
"settingLang": "Lugha",
"settingLangAuto": "Gundua kiotomatiki",
"settingNetwork": "Chagua Wallet",
"settingNode": "Nodi ya mbali",
"settingNodeList": "Nodi zilizopo",
"settingPrefix": "Alama za mwanzoni za anuani yako",
"settingPrefixList": "Available Prefixes",
"share": "Shea",
"shareInvoice": "Shea Ankara",
"shareLinkHint": "Au unaweza kushea link:",
"showRouteMeetupLocation": "Onyesha ruti.",
"startGathering": "Azisha mkutano",
"submittedFaucetDripTitle": "Zawadi za kisima",
"submittedFaucetDripBody": "Umefanikiwa kupata zawadi zako za kisima.",
"success": "Umefanikiwa",
"switchAccount": "Badilisha akaunti",
"switchCommunity": "Badilisha Jamii",
"thankYou": "Asante",
"title": "Profaili",
"to": "Kwa",
"today": "Leo",
"tomorrow": "Kesho",
"transactionError": "Hitilafu kwenye muamala",
"transactionQueuedOffline": "Programu haijaunganishwa na blockchain. Muamala uliowekwa foleni (itatumwa kiotomatiki wakati itakapounganishwa tena).",
"transfer": "Tuma",
"transferHistory": "Miamala",
"transferHistoryEnd": "Kupakia miamala ya zamani haijasapotiwa bado",
"transferHistoryTop": "Inaweza kuchukua hadi sekunde 30 kwa ajili ya uhamishaji kuonekana hapa",
"txBroadcast": "Muamala umetumwa.",
"txError": "Kuna hitilafu kwenye muamala",
"txInBlock": "Muamala uko kwenye block.",
"txQueued": "Muamala upo kwenye foleni",
"txQueuedOffline": "Haupo online. Miamala itatumwa punde tu urudipo online.",
"txReady": "Muamala upo tayari.",
"txTooLowPriorityErrorBody": "Hitilafu ya kipaumbele ya kiufundi ya muamala. Hii inaweza kutokea ikiwa utagusa mara mbili kwa haraka kwenye kitufe cha kutuma. Tafadhali subiri kwa sekunde chache.",
"txTooLowPriorityErrorTitle": "Hitilafu ya kipaumbele ya muamala",
"unknown": "Haijulikani",
"unknownAccount": "Akaunti haijulikani",
"unknownError": "Kuna hitilafu imetokea. Tafadhali kagua muunganisho wako wa intaneti halafu ujaribu tena.",
"unregister": "Jiondoe",
"unregisterDialogTitle": "Unataka kufuta usajili wako wa kikao kijacho?",
"unregisterParticipantNotificationBody": "Usajili wako kwa mzunguko ujao umefutwa. Ikiwa utabadilisha maoni yako, unaweza kujisajili tena.",
"unregisterParticipantNotificationTitle": "Usajili umefutwa",
"updatingAppState": "Inaboresha hali ya programu...",
"value": "Thamani",
"votesNotDependableErrorBody": "Nusu au chini ya washiriki walioteuliwa ndio walithibitishwa kwa mkusanyiko huu. Inaweza pia kuwa baadhi ya wahudhuriaji hawajaweka uthibitisho wao bado. Hii inazuia malipo ya mapema, na unahitaji kusubiri kwa masaa 48.",
"votesNotDependableErrorTitle": "Kura hazitegemeani",
"voucher": "Vocha",
"voucherBalance": "Salio la Vocha",
"voucherBalanceTooLow": "Vocha haina mafao ya kutosha kutumiwa.",
"weHopeToSeeYouAtTheNextGathering": "Tuna matumaini kukuona kwenye kikao kijacho.",
"wrongPin": "PIN sio sahihi",
"wrongPinHint": "Imeshindwa kuifungua akaunti, tafadhali cheki PIN.",
"youAreNotRegisteredPleaseRegisterNextTime": "Hujawekwa kwenye mzunguko huu. Tafadhali jiunge na mzunguko ujao ili upokee mapato yako ya jamii.",
"yourNewPin": "PIN mpya.",
"unlockAccount": "Fungua akaunti {currentAccountName} na PIN",
"@unlockAccount": {
"placeholders": {
"currentAccountName": {
"type": "String",
"example": "Alice"
}
}
},
"errorMessageWithStatusCode": "Kuna kitu hakijaenda sawa, tafadhali jaribu tena! StatusCode: {errorText}",
"@errorMessageWithStatusCode": {
"placeholders": {
"errorText": {
"type": "String",
"example": "Format exception"
}
}
},
"yourBalanceFor": "Salio lako, {accountName}",
"@yourBalanceFor": {
"placeholders": {
"accountName": {
"type": "String",
"example": "Format exception"
}
}
},
"incomingConfirmed": "Salio la {amount} {cidSymbol} Linaloingia kwa {accountName} imethibitishwa",
"@incomingConfirmed": {
"placeholders": {
"amount": {
"type": "num",
"example": "0.1"
},
"cidSymbol": {
"type": "String",
"example": "#"
},
"accountName": {
"type": "String",
"example": "Alice"
}
}
},
"voucherDifferentNetworkAndCommunity": "Vocha hii ni ya mtandao tofauti. Je, unataka kubadilisha mtandao kwenda {network} na {community}? Unaweza kubadilisha mtandao chini ya Wasifu > Developer mode",
"@voucherDifferentNetworkAndCommunity": {
"placeholders": {
"network": {
"type": "String",
"example": "Dev-Gesell"
},
"community": {
"type": "String",
"example": "Leu"
}
}
},
"voucherDifferentCommunity": "Vocha hii ni ya jamii tofauti. Je, unataka kubadilisha jamii kwenda {community}?",
"@voucherDifferentCommunity": {
"placeholders": {
"community": {
"type": "String",
"example": "Leu"
}
}
},
"doYouWantToRedeemThisVoucher": "Je, unataka kutumia vocha hii kwa {accountName}?",
"@doYouWantToRedeemThisVoucher": {
"placeholders": {
"accountName": {
"type": "String",
"example": "Alice"
}
}
},
"claimsSubmitN": "Tuma madai {count}",
"@claimsSubmitN": {
"placeholders": {
"count": {
"type": "int",
"example": "3"
}
}
},
"claimsScanned": "Umeskani madai {amount}",
"@claimsScanned": {
"placeholders": {
"amount": {
"type": "num",
"example": "0.1"
}
}
},
"claimsScannedNOfM": "Madai yaliyoskaniwa {scannedCount} / madai {totalCount}",
"@claimsScannedNOfM": {
"placeholders": {
"scannedCount": {
"type": "int",
"example": "2"
},
"totalCount": {
"type": "int",
"example": "3"
}
}
},
"claimsSubmitDetail": "Inatuma madai {amount} kwa mkusanyiko wa hivi karibuni",
"@claimsSubmitDetail": {
"placeholders": {
"amount": {
"type": "num",
"example": "0.1"
}
}
},
"youAreRegisteredAs": "Umejisajili kwenye kikao kijacho kama {participantType}.",
"@youAreRegisteredAs": {
"placeholders": {
"participantType": {
"type": "String",
"example": "Newbie"
}
}
},
"youAreAssignedToAGatheringWithNParticipants": "Umewekwa kwenye mkusanyiko na watu {participantsCount}",
"@youAreAssignedToAGatheringWithNParticipants": {
"placeholders": {
"participantsCount": {
"type": "int",
"example": "3"
}
}
},
"successfullySentNAttestations": "Umefanikiwa kuwasilisha uthibitisho wa watu {participantsCount} wengine.",
"@successfullySentNAttestations": {
"placeholders": {
"participantsCount": {
"type": "int",
"example": "3"
}
}
},
"tokenSend": "Tuma {symbol}",
"@tokenSend": {
"placeholders": {
"symbol": {
"type": "String",
"example": "#"
}
}
},
"communityWithName": "Jamii ya {name}",
"@communityWithName": {
"placeholders": {
"name": {
"type": "String",
"example": "LEU"
}
}
},
"verifyAuthTitle": "Tafadhali thibitisha {useBioAuth, select, true{utambulisho wako} false{PIN yako} other{ }}.",
"@verifyAuthTitle": {
"placeholders": {
"useBioAuth": {
"type": "String",
"example": "true"
}
}
},
"offersForCommunity": "Ofa za {value}",
"@offersForCommunity": {
"placeholders": {
"value": {
"type": "String",
"example": "LEU"
}
}
},
"proposalApprovalThreshold": "Kiwango cha Uhakiki: {percentage}%",
"@proposalApprovalThreshold": {
"placeholders": {
"percentage": {
"type": "String",
"example": "0.00"
}
}
},
"proposalPassed": "Imepita kwa {percentage}% Aye",
"@proposalPassed": {
"placeholders": {
"percentage": {
"type": "String",
"example": "0.00"
}
}
},
"proposalFailed": "imefeli kwa {percentage}% Aye",
"@proposalFailed": {
"placeholders": {
"percentage": {
"type": "String",
"example": "0.00"
}
}
},
"proposalIsPassing": "Kwa sasa inapita kwa {percentage}% Aye",
"@proposalIsPassing": {
"placeholders": {
"percentage": {
"type": "String",
"example": "0.00"
}
}
},
"proposalIsFailing": "Kwa sasa inafeli kwa {percentage}% Aye",
"@proposalIsFailing": {
"placeholders": {
"percentage": {
"type": "String",
"example": "0.00"
}
}
},
"proposalUpdateNominalIncome": "Sahisha mapato ya jamii kuwa {value} {currency}",
"@proposalUpdateNominalIncome": {
"placeholders": {
"value": {
"type": "String",
"example": "0.00"
},
"currency": {
"type": "String",
"example": "LEU"
}
}
},
"proposalUpdateDemurrage": "Sasisha demurrage kuwa {value}%/mwezi",
"@proposalUpdateDemurrage": {
"placeholders": {
"value": {
"type": "String",
"example": "0.00"
}
}
},
"proposalPetition": "{cid} petitioni: {value}",
"@proposalPetition": {
"placeholders": {
"cid": {
"type": "String",
"example": "global"
},
"value": {
"type": "String",
"example": "Peace to the World"
}
}
},
"proposalSpendNative": "{cid} hazina itatuma {amount} KSM kwa {beneficiary}",
"@proposalSpendNative": {
"placeholders": {
"cid": {
"type": "String",
"example": "global"
},
"amount": {
"type": "String",
"example": "0.00"
},
"beneficiary": {
"type": "String",
"example": "HNZata7iMYWmk5RvZRTiAsSDhV8366zq2YGb3tLH5Upf74F"
}
}
},
"proposalSupersededBy": "Imetanguliwa na: {id}",
"@proposalSupersededBy": {
"placeholders": {
"id": {
"type": "String",
"example": "6"
}
}
}
}