Skip to content

Latest commit

 

History

History
258 lines (129 loc) · 14.7 KB

swahili.md

File metadata and controls

258 lines (129 loc) · 14.7 KB

BBC News Swahili

 Mzozo wa DRC: Uingereza yatangaza vikwazo dhidi ya Rwanda

__

Uingereza imetangaza itasitisha karibu misaada yote kwa Rwanda kutokana na nchi hiyo kuhusishwa na mzozo wa mashariki mwa Congo ambapo uasi wa kundi la M23 umesabisha vifo vya maelfu ya watu na kuwaacha mamilioni bila ya makazi.

Mzozo wa DRC: 'Nililazimika kubakwa ili kuokoa maisha yangu'

Jumatano, 26 Februari 2025 saa 10:00:22

Takribani wafungwa wa kiume 4,000 walitoroka. Lakini ni wachache kati ya wanawake walioweza kutoroka. Jumla ya wafungwa wa kike 132 na angalau watoto 25 waliteketea hadi kufa.

Ramadhan 2025: Yote unayopaswa kujua kuhusu kufunga

Jumatano, 26 Februari 2025 saa 07:59:48

Kufunga ni ibada, na kama ilivyo kwa ibada zote, kuna sheria fulani ambazo tunapaswa kuzifuata.

Waridi wa BBC: 'walinambia nimerogwa kisa kuzaa watoto wenye changamoto za kiafya'

Jumatano, 26 Februari 2025 saa 04:15:08

Wataalamu walimueleza kuwa sababu ya changamoto hiyo ni kuwa hakuzingatia baadhi ya dawa muhimu katika kipindi cha ujauzito wake.

Vita vya Sudan: RSF kuunda serikali yao kuna maana gani?

Jumatano, 26 Februari 2025 saa 05:47:20

Kundi hilo, ambalo sasa linajiita Sudan Founding Alliance, linadai linataka taifa hilo jipya liwe la kisekula, kidemokrasia, na la ugatuzi, lililojengwa juu ya "uhuru, usawa na haki."

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano: Madrid yamtaka Branthwaite

Jumatano, 26 Februari 2025 saa 03:00:33

Real Madrid wanapanga kumsajili Jarrad Branthwaite, Napoli wako tayari kutoa ofa kwa Rasmus Hojlund, na Cole Palmer kuulizwa kuhusu mustakabali wake Chelsea.

Masaibu manne anayopitia Kizza Besigye Uganda

Jumanne, 25 Februari 2025 saa 04:01:03

"Nilimtembelea Kizza Besigye kwenye selo yake, alikuwa amelala kwenye kitanda chumba kidogo ambacho kimechukua chumba kizima. Kulikuwa na milango sita au saba niliyopita mpaka kumfikia'.

 Wanajeshi majeruhi 200 wa SADC wakiwemo Watanzania warejeshwa nyumbani

__

Wanajeshi hao waliondoka Goma na kuvuka mpaka na kuingia Rwanda kuelekea Kigali kwa ajili ya kupata ndege za kuwarejesha makwao.

Ifahamu Hospitali ya Roma inayomtibu Papa Francis

Jumatatu, 24 Februari 2025 saa 04:47:05

Hospitali ya Gemelli imekuwa ikiwatibu mapapa kwa zaidi ya miaka thelathini

Homa ya Mapafu: Ufahamu kwa kina ugonjwa huu unaomsumbua Papa Francis

Jumanne, 25 Februari 2025 saa 13:45:12

Mwaka 2021, kulikuwa na takribani visa milioni 344 vya watu wenye ugonjwa huu duniani, ambapo milioni 2.1 kati ya visa hivyo, vilisababisha vifo.

Madini gani adimu nchini Ukraine yanayoitoa 'roho' Marekani?

Jumanne, 25 Februari 2025 saa 09:57:27

Waziri mmoja anasema kwamba "majadiliano yamekuwa yenye tija, huku karibu maelezo yote muhimu yakiwa yamekamilika."

Jinsi uhusiano na Rwanda unavyochochea ubaguzi dhidi ya Watutsi DR Congo

Jumamosi, 22 Februari 2025 saa 09:13:14

Inafaa pia kuzingatia kwamba Watutsi wengi wa Congo hawaungi mkono vitendo vinavyofanywa na waasi kwa jina lao.

Je, virutubisho hivi ndio siri ya ngozi nyororo?

Jumatatu, 24 Februari 2025 saa 11:37:36

Uzalishaji wa collagen mwilini, kawaida hupungua kasi ya kuzeeka - iwe unailinda ngozi yako dhidi ya jua au la. Collagen imekuwa biashara kubwa.

Nani anayeiongoza Vatican wakati Papa amelazwa hospitalini?

Ijumaa, 21 Februari 2025 saa 03:37:21

Papa Francis, mwenye umri wa miaka 88 amekuwa akipitia maambukizi ya mfumo wa upumuaji kwa zaidi ya wiki moja.

'Tusaidieni': Vilio vya mamia ya wahamiaji waliotolewa Marekani na kushikiliwa katika hoteli ya Panama

Alhamisi, 20 Februari 2025 saa 12:54:03

Kati ya wahamiaji 299 wasio na hati za uraia, kutoka India, China, Uzbekistan, Iran, Vietnam, Uturuki, Nepal, Pakistan, Afghanistan na Sri Lanka, ni 171 pekee waliokubali kurejea katika nchi zao za asili.

Vikwazo dhidi ya Iran ni vipi,Tehran inatumia mbinu gani kuvikwepa?

Ijumaa, 21 Februari 2025 saa 09:54:57

Iran ina akiba kubwa zaidi ya mafuta duniani. Mapema 2024, ilikuwa ikisafirisha takribani mapipa milioni 1.8 kwa siku, kulingana na makadirio kutoka S&P Global, shirika la data.

Malcolm X: Jinsi mauaji yake yalivyotikisa Marekani miaka 60 iliyopita

Jumamosi, 22 Februari 2025 saa 10:44:57

Malcolm X aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa jukwaani kwenye ukumbi mmoja huko New York alipokuwa akijiandaa kutoa hotuba kwa Shirika lake la Afro-American Unity. Mke wake na watoto walikuwa kwenye hadhira.

'Wezi walipora misalaba kwenye kaburi la mwanangu, mama na ndugu zangu'

Alhamisi, 20 Februari 2025 saa 02:53:57

Hatua kwa hatua katika Makaburi ya Manispaa ya Morogoro nchini Tanzania kumeshuhudiwa kaburi moja baada ya jingine yakiwa yameharibiwa.

Mzozo wa DRC: Waasi waziacha hoi familia za Wacongo, vita vikipamba moto

Jumatano, 19 Februari 2025 saa 04:40:20

BBC yakutana na raia wa Goma na wakimbizi waliolazimishwa na M23 kuondoka katika kambi zao baada ya waasi hao kuuteka mji.

Kwanini Wamarekani weusi wameamua kurejea Afrika?

Jumanne, 18 Februari 2025 saa 10:46:44

Tangu kuanzishwa kwake mwaka wa 2012, shirika lisilo la kiserikali la Roots to Glory lenye makao yake huko Maryland, Marekani, limekaribisha mamia ya wasafiri kwa safari maalum za kutembelea nchi za Afrika Magharibi na Kati.

Kampuni ya dawa ya India inavyochochea matumizi ya dawa za kulevya Afrika Magharibi

Ijumaa, 21 Februari 2025 saa 11:51:42

Mchanganyiko huu wa dawa haujaidhinishwa kutumiwa popote duniani na unaweza kusababisha matatizo ya kupumua na kifafa. Ukiitumia sana inaweza kukuua. Licha ya hatari hizo, dawa hizi za kulevya ni maarufu mitaani katika nchi nyingi za Afrika Magharibi

'Mke wangu anahofia unyumba, mimi naogopa kufa' - Athari za kufungiwa USAID

Jumamosi, 15 Februari 2025 saa 06:42:40

Licha ya Marekani kuruhusu misaada ya kiutu kuendelea kutolewa, huduma za kuokoa maisha zilizokuwa zikifadhidliwa na USAID hazijarejeshwa.

Jinsi Ukraine ilivyobadilika katika kipindi cha miaka mitatu

Jumanne, 25 Februari 2025 saa 06:14:37

Marekani ilisema Ukraine ilipoteza wanajeshi 400,000, huku Rais Zelensky awa Ukraine alinukuliwa akisema kwamba idadi ya waliouawa katika jeshi la Ukraine ilikuwa 45,100

Kwanini wanawake wa Kenya hawataki kupata watoto?

Jumatatu, 24 Februari 2025 saa 09:32:44

Kufunga mirija ya uzazi inapendekezwa ifanywe na wanawake ambao wameamua hawataki kujifungua watoto siku zijazo, kwani kugeuza hali hii ni vigumu na mara nyingi haiwezekani.

Amka Na BBC

Jumatano, 26 Februari 2025 saa 04:29:00

Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

Amka Na BBC

Jumatano, 26 Februari 2025 saa 03:29:00

Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

Amka Na BBC

Jumanne, 25 Februari 2025 saa 04:29:00

Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

Amka Na BBC

Jumanne, 25 Februari 2025 saa 03:29:00

Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

Dira Ya Dunia

Jumanne, 25 Februari 2025 saa 16:29:30

Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

Dira Ya Dunia

Jumatatu, 24 Februari 2025 saa 16:29:30

Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

Dira Ya Dunia

Ijumaa, 21 Februari 2025 saa 16:29:30

Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

Dira Ya Dunia

Alhamisi, 20 Februari 2025 saa 16:29:30

Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki